1 John 2:9-11

9 aYeyote anayesema yumo nuruni lakini anamchukia ndugu yake bado yuko gizani. 10 bYeye ampendaye ndugu yake anakaa nuruni, wala hakuna kitu chochote ndani yake cha kumkwaza. 11 cLakini yeyote amchukiaye ndugu yake, yuko gizani na anaenenda gizani, wala hajui anakokwenda, kwa sababu giza limempofusha macho.

Copyright information for SwhNEN